IQNA – Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem , amekataa wazo la kusalimisha au kuachana na silaha za harakati hiyo ya mapambano, akisema kuwa wanaotaka hilo wanapaswa kwanza kulaani na kutaka mwisho wa uvamizi wa Israeli dhidi ya Lebanon.
Habari ID: 3480902 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/05
IQNA-Sheikh Naim Qassem , kiongozi wa harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah ameeleza kuwa Israel si tu kuwa inaikalia kwa mabavu Palestina bali ni tishio la kimkakati kwa Lebanon, Misri, Syria, Jordan, na ni tishio pia kwa amani na usalama wa kanda hii na dunia nzima kwa ujumla.
Habari ID: 3480888 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/03
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naeem Qassem, amesisitiza kuwa mafundisho Uislamu asili wa Mtume Muhammad kupitia misingi ya kimapinduzi ya Imam Ruhollah Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) yataendelea kuwa mwanga unaoongoza harakati za mapambano au Muqawama na vuguvugu za ukombozi katika eneo la Asia na ulimwengu mzima wa Kiislamu.
Habari ID: 3480775 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/02
IQNA-Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem amezungumzia shambulio la hivi karibuni la utawala wa Kizayuni kwenye viunga vya kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut, na akasema: "shambulio hili limefanywa kwa idhini na uungaji mkono wa Marekani."
Habari ID: 3480608 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/29
IQNA – Katibu Mkuu wa Hizbullay ya Lebanon amepuuzilia mbali wazo la kuipokonya harakati hiyo, silaha zake na kusema wale wanaotoa wito wa kufanya hivyo wanahudumia ajenda ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Habari ID: 3480562 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/19
Muqawam
IQNA - Israel ililazimika kuomba kusitisha mapigano kutokana na uwezo wa Hizbullah, amesema katibu mkuu wa harakati hiyo ya muqawama ya Lebanon.
Habari ID: 3480008 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/05
Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ameashiria ushindi wa harakati ya muqawama katika kukabiliana na utawala ghasibu wa Israel, na kutaja kuwa kusimama kidete na kujitolea muhanga wapiganaji wake kama sababu kuu zinazopelekea ushindi huo.
Habari ID: 3479902 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15
Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, wanamapambano wa kambi ya Muqawama wako tayari kuendelea kupambana na adui wakati wowote watakapolazimika kufanya hivyo.
Habari ID: 3479825 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30
Muqawama
IQNA-Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameipongeza Lebanon na harakati yake ya Muqawama, Hizbullah kwa kufanikiwa kusimamisha vita vya Israel, na kuutaja kuwa ni "ushindi wa kimkakati kwa Hizbullah na wa kufedhehesha" kwa utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3479822 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/28
Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Hizbullah amesema harakati hiyo ya muqawama ya Lebanon iko tayari kupigana vita vya muda mrefu dhidi ya utawala ghasibu wa Israel, na kwamba jibu lao kwa mashambulizi ya hivi karibuni ya anga dhidi ya Beirut litakuwa kulenga katikati mwa Tel Aviv.
Habari ID: 3479786 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/21
Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah Sheikh Naim Qassem amewaandikia barua wapiganaji wa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, akiwapongeza kwa mapambano ya kujivunia wanayoyaendeleza katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake.
Habari ID: 3479749 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/14
Muqawama
IQNA - Sheikh Naim Qassem , kiongozi mpya aliyeteuliwa wa Hizbullah, amesema harakati hiyo ya muqawama au mapambano ya Kiislamu ya Lebanon haitegemei juhudi za kisiasa kusimamisha mapigano yanayoendelea baina yake na utawala wa Israel.
Habari ID: 3479714 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/07
Muqawama
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman amempongeza Sheikh Naim Qassem kwa kuteuliwa kuwa katibu mkuu mpya wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 3479702 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
Kusambaratika Israel
TEHRAN (IQNA) – Akiashiria sehemu ya aya ya 2 ya Sura Al Hashr katika Qur’ani Tukufu, naibu kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amegusia mgogoro mkubwa katika utawala haramu wa Israel na kuandika: “Wakawa wanazibomoa nyumba zao kwa mikono yao na mikono ya Waumini.”
Habari ID: 3476773 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/28
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) Naibu Katibu MKuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem amesisitiza kwamba Palestina haiko peke yake kwa sababu ulimwengu wa Kiislamu unaiunga mkono.
Habari ID: 3476247 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/14